Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwahiyo,kwa mfano,kama unakula kitimoto na kushushia na safari moja baridi,elewa kwamba kitambi chako kinatokana na sukari iliyomo kwenye bia. Hiyo sukari ndio itakayotunza hayo mafuta ya kitimoto kwa kiwango kikubwa katika mwili wako.
 
"Ndoto yangu ni kuja kumuoa Wema Sepetu, hakuna maisha bila Wema"--Baharia wa Kenya
FB_IMG_1576251679063.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro? Oh hell nah! [emoji16][emoji16][emoji16]

Huku kwema malkia. Natumaini Ijumaa imekuwa njema na yenye mibaraka...

#SayNotoBrozone
#SayNotoFriendzone
#SayNotoAnkozone
Ijumaa ilikuwa ya heri kabisa tunashukuru...
Bro bwana tukuiteje sasa? Jina lako gumu na refu...
Tupatie jina la utani la utotoni basi...
Ila umekaa ki Bro bro hivi..
 
Back
Top Bottom