moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na hiyo nilisingiziwa tu. King Davet na Bradha siyo watu wazuri [emoji706][emoji706]
Hii furaha si bure 🙄
Aisee hahaha wazee wa Bunju mna maneno sana
Niambie mpendwa kwa nini unafuraha huamini hiki nikiandikacho.Ujue unanifanya nicheke huku[emoji2][emoji2][emoji2]
Inawezekana Pia ila kumwambia anampenda hadharani hajakosea popote upendo unaweza onesha haijalishi gizani au kwenye mwanga.kuhusu kumpa mimba Mungu atakapo leta neema zake.
Hakuwa amepokea upendo huyo bibie hivi angekuwa ana pesa zake angeuliza hayo.Kuna msanii mmoja aliwahi kutamka kitu kama hicho, nikamsikia bi dada akimwagia povu kwamba angeenda kimyakimya ili wayajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana wivu huyo wifi yetu [emoji1][emoji1][emoji1]
Nawe uwe unamuweka karibu huku unachat.
Hahahaha jaman ongezapo iwe 32Huyo ndiyo kabisaa nasikia bado anachezea 21. Mbwembwe zake za uhenga sasa. Utagwaya. Eti enzi zake vijana walikuwa wwnavaa magome ya miti tu. Nilicheka siku hiyo mpaka mbavu zikaniuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuwa amepokea upendo huyo bibie hivi angekuwa ana pesa zake angeuliza hayo.
Kama ni hivyo hata kama mimi nisingekubali unachatika Peke yako na kufurahi😄😄😄
Hahah nipo bro,kiukweli sasa hivi tuna hali mbaya sana
[emoji2][emoji2][emoji2] mzee wa 21ahahaha jamaniii
Naamini mpendwaNiambie mpendwa kwa nini unafuraha huamini hiki nikiandikacho.
Asante kwa kuniamini uwe na usiku mwema mpendwaNaamini mpendwa