Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amfuate kwa wazazi wake akiwa na mshenga aone kama atamkosa.
Na tena atoe ahadi ya kumpa mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana Pia ila kumwambia anampenda hadharani hajakosea popote upendo unaweza onesha haijalishi gizani au kwenye mwanga.kuhusu kumpa mimba Mungu atakapo leta neema zake.
 
Hahahahahahahahaa[emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Bro anaingilia majina yanayopaswa kutajwa tajwa na mademu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Masalakulangwa.

Ukilikata namna hiyo linapoteza maana japo bado linamaanisha akili.

Waachie mademu hizi ishu bro [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba kamanda mkuu mwaka huu kazini au hajazini [emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089].
Mkuu utani tu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Heee kwamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba kamanda mkuu mwaka huu kazini au hajazini [emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089].
Mkuu utani tu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu hii mada imeisha mpendwa mimi sijui aulizwe bae wake 🙄
 
Teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kamanda leo umekuja kivingine kabisa
Madhambi hayaepukiki. Labda nije niteke mtu aliyeokoka siku moja anipe siri ya kutotenda dhambi. Ni changamoto sana. Yaani mtu unaweza kuamka na dhamira safi kabisa kuwa leo natenda mapenzi ya Mungu tu dhambi mwiko lakini gas station ya kwanza tu upate kahawa ya asubuhi mara paap bonge la msambwanda dah! Ni chalenji sana kamanda !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom