Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,483
Masalakulangwa.[emoji23][emoji23][emoji23] bro Masala
Tutakuja kiembe mbuzi mpendwa😀😀😀Unazuga mpendwa 😄😄😄
Haya bro 🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️Masalakulangwa.
Ukilikata namna hiyo linapoteza maana japo bado linamaanisha akili.
Waachie mademu hizi ishu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi mwaka huu sijazini aisee ila madhambi mengine kama kawa. Dah !!!
Nitafurahi Mungu akukuzie mpendwaTutakuja kiembe mbuzi mpendwa😀😀😀
Hii hoja naipinga kwa nguvu zote
Kulingana na utafiti wangu mfupi mabinti wote katika uzi huu hakuna aliye above 25. Tena hao wa 25 ndo utakuta wanajitapa vibaya sana kuwa ni wahenga kumbe wa juzi tu. Kwendeni zenu huko!!!
Heee kwamba 😂😂😂😂Teh teh teh[emoji23][emoji23]
Bora ulete ushuhuda[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa unaipinga katika misingi ipi? Ulikuwepo nilipokuwa nazini mpendwa?
Madhambi hayaepukiki. Labda nije niteke mtu aliyeokoka siku moja anipe siri ya kutotenda dhambi. Ni changamoto sana. Yaani mtu unaweza kuamka na dhamira safi kabisa kuwa leo natenda mapenzi ya Mungu tu dhambi mwiko lakini gas station ya kwanza tu upate kahawa ya asubuhi mara paap bonge la msambwanda dah! Ni chalenji sana kamanda !!!Hahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha madhambi kamanda[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeisha nimekubali kushindwa😄😄Hahahahaaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nachukua chupa yangu ya gahawa nikae pembeni nisikilize vizuri mada yenu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada haikufika popote. Mpendwa alikimbia akidai eti Wasukuma wabishi sana hawezi kushindana nao [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nachukua chupa yangu ya gahawa nikae pembeni nisikilize vizuri mada yenu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwembwe nyingi tu lakini andaeitini kabisa. Mhenga katika uzi huu ni mimi peke yangu. Hata ankoo nshamshtukia yule. Ubaya na mimi heshima ya uhenga nilishaivuruga yaani ni hovyo tu...