Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haha jino kwa jino leoNgoja tutishe maandaeitini wakalale [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1291840
Kafanana na mimi wa ukubwani kweli sijui nitakya mkubwa lini
Hizo wallpaper ni 3D?ziko bomba
Unafikiri hata muda wa kuangalia wallpaper mi ninao bro. Huyu binti namkubali sana...Wakubwa kweli wanafaudugi [emoji16][emoji16]Hizo wallpaper ni 3D?ziko bomba
Ukibebeshwa huo bro jasho lazima likutoke [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji123]Mguu toka BK
Hahah eti wakubwa wanafaudu,acha tubaki kuwaita shemeji tu[emoji16][emoji16]Unafikiri hata muda wa kuangalia wallpaper mi ninao bro. Huyu binti namkubali sana...Wakubwa kweli wanafaudugi [emoji16][emoji16]
Sidhani hata kama nitapata nguvu za kusimama,ntakaa hapo hapo[emoji16][emoji16][emoji16] limguu la shampenUkibebeshwa huo bro jasho lazima likutoke [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji123]
Sawa bro,acha leo niwalindie uzi..Nimefika kikomo wapendwa. Kesho tena tukijaliwa [emoji42][emoji42][emoji42][emoji870][emoji870][emoji870][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1291851
Sawa bro,acha leo niwalindie uzi..
Uwe na wakati mwema Bro,