Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmmmh, hela yote hiyo inanunua mchezaji mmoja!!!?
Real Madrid ndiyo wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kumchukua mshambuliaji huyo baada ya mwenyewe kuwa na ndoto za kwenda kukipiga Bernabeu huku Los Blancos wakiripotiwa kuwa tayari kulipa Pauni 342 milioni ili kupata huduma ya mshambuliaji huyo matata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1576272557046.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom