Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Asante
Asante
Pole, uzuri ni Ijumaa.Leo nimekosa usingizi
HahahahaHata wewe ulikuwa umeshaaga usitoe pole hapa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Hata wewe ulikuwa umeshaaga usitoe pole hapa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Na wanao je?[emoji2][emoji2]Muda huu nashangaaa
Yaan ila utashangaa asubuh na mapema usingizi haupo pia daahPole, uzuri ni Ijumaa.
Umekatisha usingizi kuja kula likes? Ila vile ni wikiendi hakuna neno. Ingekuwa kesho job ingekuwa shida
[emoji23][emoji23]wameshaolewa na kuoa nipo na wajukuu wanne ila nao wameshalala zamaaaaaaaniiiiiNa wanao je?[emoji2][emoji2]
Yeah, mara nyingi usingizi unakatika muda uliozoea kuamka.Yaan ila utashangaa asubuh na mapema usingizi haupo pia daah
Hamna ni Soda tuYeah, mara nyingi usingizi unakatika muda uliozoea kuamka.
Au umepiga kahawa au chocolate?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji23][emoji23]wameshaolewa na kuoa nipo na wajukuu wanne ila nao wameshalala zamaaaaaaaniiiii
#brodonasionehapa
Siku hizi ndoto zimekua za nadra sana hadi sijui ni kwamba sioti au nasahau.Utuote
#ndotonjema