Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mkali wa kutupia wa Manchester City, Sergio Aguero uhodari wake wote wa kufunga, lakini kwa Mbappe ni chamtoto, amefikisha mabao 100 baada ya kutimiza umri wa miaka 22 na siku 147.
Maisha bila viunafiki hayaendi [emoji16][emoji16][emoji16]Likes zingine humu za kinafiki.
Hata wewe ulikuwa umeshaaga usitoe pole hapa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]