Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Sijakatisha umekatika [emoji16]Umekatisha usingizi kuja kula likes? Ila vile ni wikiendi hakuna neno. Ingekuwa kesho job ingekuwa shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakatisha umekatika [emoji16]Umekatisha usingizi kuja kula likes? Ila vile ni wikiendi hakuna neno. Ingekuwa kesho job ingekuwa shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
#andaeitinkwenyeuborawako[emoji23]
Itakua unasahau. Hapa naogopa hadi kulala nina ndoto za ajabu siku hiziSiku hizi ndoto zimekua za nadra sana hadi sijui ni kwamba sioti au nasahau.
Basi ndio maana haulali...Itakua unasahau. Hapa naogopa hadi kulala nina ndoto za ajabu siku hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntakwambia nimesahauBasi ndio maana haulali...
Kesho nitakuuliza unaota nini 😀 😀 😀
Esta una mbwembwe dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wameshaolewa na kuoa nipo na wajukuu wanne ila nao wameshalala zamaaaaaaaniiiii
#brodonasionehapa
hahahahahahah, haya dada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntakwambia nimesahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtunza kumbukumbu kwenye ubora wakeEsta una mbwembwe dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1291814
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushauri muhimu huuhahahahahahah, haya dada.
Sasa kwasababu umekunywa hiyo soda, ushauri kabla sijaenda kulala ni kwamba, ukiota umeona choo ndotoni, hakikisha haukitumii 😀😀😀