Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Niaje bro
Ni mhafidhina huyu anataka kuogopesha mabaharia waache kupandana kabla ya ndoa lakini mbinu aliyotumia haina mashiko kisayansi.Hatari sana
Wanawake mjiangalie unapovua nguo hovyo unapata hii
http://woked.co/women-dna-man-made-love/ Kwa kiswahili ni hivi Kuna cells(DNA) zimekua zikionekana kwenye ubongo wa wanawake ambazo hazitokani kwa baba zao jambo ambalo wanasayansi wakawa wanafikiri labda ni kwasababu mtu alipata ujauzito wa mtoto wa kiume ukaharibika au sababu zinazofanana na...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri yako, au kwa vile wewe haikuhusuNi mhafidhina huyu anataka kuogopesha mabaharia waache kupandana kabla ya ndoa lakini mbinu aliyotumia haina mashiko kisayansi.