Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kumbe ngoja anichokoze nakimbilia pale ngumi moja inatoshaWanaume waoga kupigwa pale ukiwa muangalia mpira utajua hilo,wapo fasta kujiziba pale kati
Nawe sio mpole 😄😄😄😄😄😃😃 usitake kutuambia unamiliki kanda ya ziwa
Sina uhakika kama aliutekeleza ushauri wangu.Bado nawaza tu sijui alikurupushwa na nini?