moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aisee tafiti nyingine ni uwongo.
Hahahahahaa kwan unazo?
Maumivu ya pale naona ni sawa na ya kupigwa kifuani
Shangaa na wewe mkuu kamba nyingine hazikubaliki😄😄😄
ni kweli hii, ndio maana utaskia mwanamke akitaka kuzaa tena,
lakini kamwe hutaskia mwanaume akiomba kupigwa korodani
Siku hizi mpendwa umegeukia kwenye siasa hata kwenye uzi huonekani sanaKutokana na wingi wa messages, nashindwa kumjibu kila mtu aliyeniandikia ujumbe kuhusu tangazo la kuitwa kwangu kwenye Kamati ya maadili. Niseme tu kwamba; Nasubiri kwa hamu barua ya wito! Nitakwenda! Hoja zitatolewa na hoja zitapanguliwa. Stay tuned!
B. Membe.
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃account imedukuliwaNawe sio mpole 😄😄😄😄😄
Heheh! Acha tu ...
Hiyo kauli yako imefanya nikumbuke Misumari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kuwaza kuchomwa chomwa utapata tetenasi ujue
Teh teh leo ndio nimeona rangi yako halisi humu mpole mimi tu😃😃account imedukuliwa
Sijachukia mbona, ondoa shaka.Kwa upole hivi mpendwa umechukia nakutania mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaa na wewe mkuu kamba nyingine hazikubaliki[emoji1][emoji1][emoji1]