moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahah! Basi ni jambo jema sana Brohuku leo ni jumamosi moja tulivu kabisa, hali ya hewa inaruhusu kabisa kwenda kukaa kwenye viti virefu
😀😀Sina uhakika kama aliutekeleza ushauri wangu.
Hbr ya asbh bro?
puuza maneno hayoTeh teh leo ndio nimeona rangi yako halisi humu mpole mimi tu
Nyumbu wana maisha magumu sana!
Wanaharakati wetu wazalendo. Kamanda BAK sijui kapotelea wapi. Hayupo JF mazima mpaka wengine wanadai si ajabu kalamba ulaji kwenye serikali ya nduli wake [emoji16][emoji16][emoji16]Siku hizi mpendwa umegeukia kwenye siasa hata kwenye uzi huonekani sana