Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa kati wa Uruguay Lucas Torreira, mwenye umri wa miaka 23, anaweza kuondoka Arsenal kwa jili ya kuhamia Napoli kwa uhamisho wa pauni milioni £21m , lakini klabu hiyo ya ligi ya Serie A inataka kufanya mazungumzo ya mkataba wa mkopo kwanza.(Mirror)
 
Arsenal na Manchester United wamejipanga kupambana kwa ajili ya kumchukua kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski, mwenye umri wa miaka 19, ambaye anacheza kwa mkopo katika klabu ya Parma kutoka Atalanta na amethamanishwa kwa bei ya pauni milioni £42m. (Mirror)
 
Jurgen Klopp amedokeza kuwa Liverpool inaweza kurejea sokoni kuwasaka wachezaji zaidi wa Red Bull Salzburg baada ya kumpata winga wa Japan Takumi Minamino, mwenye umri wa miaka 24, kabla ya kipindi cha uhamisho wa wachezaj cha mwezi Januari. (Mirror)
 
"Nimebaki Bikra kwa muda wote mpaka nimpate Wema"--Steven
FB_IMG_1576335462968.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli, nini maana ya virgin?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema hata anayetumia matango bila kuliwa kimasikhara na mabaharia naye atabakia kuwa bikra?

(Samahani. Ezi yujo nshadandia treni tena kule mbele kabisa dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099])


tapatalk_1576338461889.jpeg
 
Unataka kusema hata anayetumia matango bila kuliwa kimasikhara na mabaharia naye atabakia kuwa bikra?

(Samahani. Ezi yujo nshadandia treni tena kule mbele kabisa dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099])


View attachment 1292504
Tulikuwa kwenye sabuni ghafla kwenye matango daaah [emoji3][emoji3][emoji3] kwani bikra maana yake nini hebu angalia kamusi yako hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom