Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mabaharia utawajua tu [emoji16][emoji16]Uwongoooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1292617
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaharia utawajua tu [emoji16][emoji16]Uwongoooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1292617
"Urafiki wa dume la simba na mwanambuzi mnono daima utakuwa wa hati hati"
Pole pole utazoea bro na kwaliti itapanda...majukumu mazito sana haya bro, inabidi apatikane andaeitini mmoja akabidhiwe, mabaharia wataniua maana ntaleta vitu vya loo kwaliti
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nimeipenda Avatar yako. Ina ujumbe mzito sana. Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1292612
nikabidhiwe mafaili ya office basi, na iwepo hafla fupi tule na sambusaPole pole utazoea bro na kwaliti itapanda...
Instagram kule tembelea akaunti za akina Sanchi, akina Poshikwini, Giggy Mane na wengineo hutakosa vitu vya quality nzuri...
Na kuanzia leo ishu zote za Misambwanda hapa kwenye uzi wetu huu ni zako bro
Always. Na hii ndo changamoto kubwa utakayokumbana nayo ukioa singo maza. Utachapiwa tu na baby daddy utake usitake [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Huwa mnasahau kuwa kama kuna single mom mahali basi pia kuna single dady, hii ina maana hata single dady pia sio wa kuaminiwa maana ni lazima tu watakuwa wanakulana na mama mtoto. Ila kila mnapojadili suala hili kwa nini mnaongelea upande mmoja?Always. Na hii ndo changamoto kubwa utakayokumbana nayo ukioa singo maza. Utachapiwa tu na baby daddy utake usitake [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Swadakta madamHuwa mnasahau kuwa kama kuna single mom mahali basi pia kuna single dady, hii ina maana hata single dady pia sio wa kuaminiwa maana ni lazima tu watakuwa wanakulana na mama mtoto. Ila kila mnapojadili suala hili kwa nini mnaongelea upande mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kwa nitakalosema ila naomba niseme tu kuwa hakuna tabia mbovu kama hii, anayo pia Daemusin. Hivi kama huna uhakika na unachotaka kuandika kwa nini usiache tu hadi upate uhakika?Bradha. Notification imekuja Bradha quoted your post nakuja kuangalia nakuta ushafuta. Uliandika nini? Jiamini bro !!!
Labda ndio ile wanasema mwanaume kucheat sio dhambiSwadakta madam
Ukikuta wanashupalia hilo jambo wameshupaza shingo kuhalalisha haramu kuwa halali.