Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

majukumu mazito sana haya bro, inabidi apatikane andaeitini mmoja akabidhiwe, mabaharia wataniua maana ntaleta vitu vya loo kwaliti
Pole pole utazoea bro na kwaliti itapanda...

Instagram kule tembelea akaunti za akina Sanchi, akina Poshikwini, Giggy Mane na wengineo hutakosa vitu vya quality nzuri...

Na kuanzia leo ishu zote za Misambwanda hapa kwenye uzi wetu huu ni zako bro
 
Pole pole utazoea bro na kwaliti itapanda...

Instagram kule tembelea akaunti za akina Sanchi, akina Poshikwini, Giggy Mane na wengineo hutakosa vitu vya quality nzuri...

Na kuanzia leo ishu zote za Misambwanda hapa kwenye uzi wetu huu ni zako bro
nikabidhiwe mafaili ya office basi, na iwepo hafla fupi tule na sambusa
 
Always. Na hii ndo changamoto kubwa utakayokumbana nayo ukioa singo maza. Utachapiwa tu na baby daddy utake usitake [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Huwa mnasahau kuwa kama kuna single mom mahali basi pia kuna single dady, hii ina maana hata single dady pia sio wa kuaminiwa maana ni lazima tu watakuwa wanakulana na mama mtoto. Ila kila mnapojadili suala hili kwa nini mnaongelea upande mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bradha. Notification imekuja Bradha quoted your post nakuja kuangalia nakuta ushafuta. Uliandika nini? Jiamini bro !!!
Samahani kwa nitakalosema ila naomba niseme tu kuwa hakuna tabia mbovu kama hii, anayo pia Daemusin. Hivi kama huna uhakika na unachotaka kuandika kwa nini usiache tu hadi upate uhakika?
#povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…