Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ofisi haikuwa na mafaili. Itabidi uende insta ukasake mwenyewe. Na nimeshakupa pa kuanzia. Usiwe mvivu bro...na hafla hakuna. Ofisi haina hela.nikabidhiwe mafaili ya office basi, na iwepo hafla fupi tule na sambusa
Aah mdogo wangu haya mambo mazito ngoja nikalale mimiUkikuta wanashupalia hilo jambo wameshupaza shingo kuhalalisha haramu kuwa halali.
Kwani mashindano? Upande mwingine na nyie si mpo ongeleeni tu kha !!!Huwa mnasahau kuwa kama kuna single mom mahali basi pia kuna single dady, hii ina maana hata single dady pia sio wa kuaminiwa maana ni lazima tu watakuwa wanakulana na mama mtoto. Ila kila mnapojadili suala hili kwa nini mnaongelea upande mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
umesharudi kupokea ndege?Samahani kwa nitakalosema ila naomba niseme tu kuwa hakuna tabia mbovu kama hii, anayo pia Daemusin. Hivi kama huna uhakika na unachotaka kuandika kwa nini usiache tu hadi upate uhakika?
#povu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mada kwa sasa huwa nazikwepa ujinga mtupu kila siku Single mama, single mama kama vile wanajinanii wenyewe kisha inatungwa mimba
Kwani mashindano? Upande mwingine na nyie si mpo ongeleeni tu....
Nilivyoona quote yako kidogo nilogout nilaleumesharudi kupokea ndege?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]Kuna mada kwa sasa huwa nazikwepa ujinga mtupu kila siku Single mama, single mama kama vile wanajinanii wenyewe kisha inatungwa mimba
wasi wasi wako ndio maradhi yako ndivyo wasemavyo waimbaji wa modern taarab
Ulijua mzee baba anachuka na gazeti
Akipata urojo ndio anakuwa kwenye hali ile 😄😄😄
[emoji23][emoji23][emoji23]If life is a video game, i am not going to jail for the many war crimes I committed in '92
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Bradha. Notification imekuja Bradha quoted your post nakuja kuangalia nakuta ushafuta. Uliandika nini? Jiamini bro !!!
Aisee