myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tumepata sare mkuuDuh!!
Jamaa anazeeka na utamu wake. Raha sana kuwa supastar mwenye kujibebaanamkomesha sari ball na wale team vimbwai mbwai wasioishiwa maneno kama kaseti ya rambo kipensi
amefunga mechi nne mfululizo
aaaaaamiiinUwe usiku wa furaha...
aaaaaamiiinManU vs Everton 1-1
aaaaaamiiiiinnMungu atupe afya na uzima
aaaaaaamiiiiinnnWolves 1 Tottenham 2
Dini iliyo safi,isiyo na taka mbele za BwanaTuwakumbuke wakati huu wa sikukuu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1293488
Amen [emoji16][emoji16][emoji16]
Pia mtoaji afanyapo azingatie Matthew 6:1Amen [emoji16][emoji16][emoji16]
Na kisaikolojia hii inamsaidia zaidi mtoaji kuliko mpokeaji....