Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moyes ana jipya gani?
Timu za England nazo akili zao kama Tanzania
Mkufunzi wa West Ham Manuel Pellegrini anakaribia kupigwa kalamu licha ya timu yake kupata ushindi siku ya Jumamaosi huku kocha wa zamani David Moyes akitarajiwa kujaza pengo lake. (Star on Sunday)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengine wanapaswa kuishi chini ya usimamizi wa magereza maisha yao yote

Kuwapa msamaha watu wa aina hii ni kuwaletea shida wananchi
Bukoba. Mfungwa aliyeachiwa huru kwa msamaha wa Rais John Magufuli kutoka gereza la Bukoba mkoani Kagera anadaiwa kuua kisha na yeye kuuawa.
Kamanda wa polisi wa Mkoa huo, Revocatus Malimi amewaeleza waandishi wa habari jana kwamba mfungwa huyo alivamia stendi kuu ya mabasi juzi Desemba 13 na kumchoma mfungwa mwenzake kisu na kumsababishia kifo huku akiwajeruhi watu wengine watano.
Amesema baada ya tukio hilo wananchi wenye hasira walimkamata na kumshushia kipigo hadi kupoteza maisha.
“Tukio hilo lilitokea saa tatu za usiku eneo la stendi kuu ya mabasi,” alisema
Amesema kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa ghafla mtu mmoja asiyefahamika majina yake mwenye umri kati ya miaka (30 hadi 35) alivamia maeneo ya stendi hiyo na kumchoma kisu tumboni na usoni Godfrey Gobadi (35) dereva wa bajaji na kumsababishia kifo papo hapo ambaye pia aliachiwa kwa msamaha wa Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya tumeshaaambiwa tumfukuzie nzi mlaji wa kuku[emoji849]
tapatalk_1576426795926.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengine wanapaswa kuishi chini ya usimamizi wa magereza maisha yao yote

Kuwapa msamaha watu wa aina hii ni kuwaletea shida wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wengine kichwani hakuko sawa. Kuwaachia bila kuwafanyia psychological evaluation siyo sawa. Na wengine hawana support system yo yote. Unapomwachia tu ghafla unataka aende kwa nani? Akale na kulala wapi? Mambo haya yanapaswa kuzingatiwa...
 
Back
Top Bottom