Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matabaka yataendelea kuwepo mpaka Kiama kitakaposimama

Ingawa Nyerere alitunga Azimio la Arusha kukomesha hali kama hii lakini kwa hakika haiwezekani.
Acha watu wasome kwa hela zao bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matabaka yataendelea kuwepo mpaka Kiama kitakaposimama

Ingawa Nyerere alitunga Azimio la Arusha kukomesha hali kama hii lakini kwa hakika haiwezekani.
Acha watu wasome kwa hela zao bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa mabalozi, diplomats, wafanyakazi wa mashirika ya kimataifa, wanasiasa wapigaji, matajiri kama akina Mo na mafisadi wengine wachache....

Imagine hiyo Namba 1 kupata nafasi ni kazi na kuna waiting list ndefu balaa.
 
Huku Afrika kijana ni taifa la kesho na mzee ukipata cheo cha kisiasa hakuna kustaafu mpaka kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli hata hao vijana wa kwenye 30s wakipewa huku kwetu wanaweza? Sina imani sana na mifumo yetu ya elimu na falsafa nzima inayoendesha maisha yetu ya kijamii. Wenzetu huko wako transparent sana na wanagombea vyeo hivi siyo kwa lengo la kufisadika kinyume na huku kwetu; akifanya hata kakosa kadogo tu ka kimaadili watu wakapaza sauti zao utamsikia huyo keshaachia ngazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…