Kauli ya beki huyo wa zamani wa Liverpool na England imekuja muda mfupi baada ya De Bruyne kucheza soka ya kiwango bora katika mchezo ambao Manchester City ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Arsenal jana.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ubelgiji alifunga mabao mawili na haikushangazwa alipotangazwa nyota wa mchezo huo. Pia alitengeneza bao lililofungwa na Raheem Sterling.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ubelgiji alifunga mabao mawili na haikushangazwa alipotangazwa nyota wa mchezo huo. Pia alitengeneza bao lililofungwa na Raheem Sterling.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.