JE WAJUA,? Imebainika wanawake wote wanaosuka msuko wa "Twende Kilioni " Wengi wao ni waaminifu sana kwenye mahusiano kwa asilimia 99% π _ FAHAMU HILO
Kauli ya beki huyo wa zamani wa Liverpool na England imekuja muda mfupi baada ya De Bruyne kucheza soka ya kiwango bora katika mchezo ambao Manchester City ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Arsenal jana.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ubelgiji alifunga mabao mawili na haikushangazwa alipotangazwa nyota wa mchezo huo. Pia alitengeneza bao lililofungwa na Raheem Sterling.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ubelgiji alifunga mabao mawili na haikushangazwa alipotangazwa nyota wa mchezo huo. Pia alitengeneza bao lililofungwa na Raheem Sterling.