Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mchezaji pekee kufunga mabao 50+ msimu sita mfululizo
Kama kuna kitu ambacho Ronaldo amekuwa akikifanya kwa ufasaha mkubwa ni kufunga mabao na amekuwa moto akifunga zaidi ya mabao 50 kwa misimu sita mfululizo kati ya 2010-11 na 2015-16, ambapo alifunga 53, 60, 55, 51, 61 na 51 kwa kufuata mfululizo. Mpinzani wake Lionel Messi ameweza kufanya hivyo mara tatu tu katika maisha yake soka.