Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Keshatekwa zamaaaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heeeh!![emoji134][emoji134][emoji134]Keshatekwa zamaaaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchezaji pekee kufunga mabao 50+ msimu sita mfululizo
Kama kuna kitu ambacho Ronaldo amekuwa akikifanya kwa ufasaha mkubwa ni kufunga mabao na amekuwa moto akifunga zaidi ya mabao 50 kwa misimu sita mfululizo kati ya 2010-11 na 2015-16, ambapo alifunga 53, 60, 55, 51, 61 na 51 kwa kufuata mfululizo. Mpinzani wake Lionel Messi ameweza kufanya hivyo mara tatu tu katika maisha yake soka.
Amen shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Your journey is not the same as mine, and my journey is not yours, but if you meet me on a certain path, may we encourage each other.
[emoji169]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale Ufipa panaonekana pamechoka kwa nje kumbe ndani kuko bomba namna hii? 2020 tunawategemea makamanda. Msituangushe !
itakuwa ni hoteli....Pale Ufipa panaonekana pamechoka kwa nje kumbe ndani kuko bomba namna hii? 2020 tunawategemea makamanda. Msituangushe !
Mwanhuzi wapi na wewe. Hii Mwakaleli laivu bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata hii akiipenda utaiona kwenye avatar soon [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu amefanana na Esta[emoji3], ile avatar anayotumiaga ya uso wa mtoto.
Harusi ziendane na uwezo. Hakuna haja ya kubakia na madeni ya mamilioni kisa shobo...Kwema huko Mwakaleli? Ile chalenji ya kuja kupanda milima ya Loleza bado ipo?
HahahahahaMwanhuzi wapi na wewe. Hii Mwakaleli laivu bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1295131