Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Saint Anne; ni ya kweli haya kuhusu mabinti wa Kinyakyusa?
www.jamiiforums.com
Usikurupuke kuoa Mbeya kama wewe nyoronyoro mtoto wa mama
MSICHOKIJUA KUHUSU DADA WA KINYAKYUSA (MBEYA) Msikurupuke tu kuoa Dada zetu kabla hamjahesabu gharama. Hivi kwanini nyie wajanga hamjiulizi wanapooana mnyakyusa kwa mnyakyusa ndoa inaenda tu, ni kwasababu tunajuana wenyewe,mnaopata shida ni nyie msiowajua. 1. Mdada yeyote Mnyakyusa au...