Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
👏👏👏Mchezaji pekee kufunga mabao 50+ msimu sita mfululizo
Kama kuna kitu ambacho Ronaldo amekuwa akikifanya kwa ufasaha mkubwa ni kufunga mabao na amekuwa moto akifunga zaidi ya mabao 50 kwa misimu sita mfululizo kati ya 2010-11 na 2015-16, ambapo alifunga 53, 60, 55, 51, 61 na 51 kwa kufuata mfululizo. Mpinzani wake Lionel Messi ameweza kufanya hivyo mara tatu tu katika maisha yake soka.
👏👏👏Tuzo nyingi ya mchezaji bora wa Uefa
Ronaldo ameshinda mara tatu tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Uefa, ikiwa ni mara nyingi kuliko wachezaji wengine, ambapo mpinzani wake Lionel Messi anashika namba mbili akiwa ameshinda tuzo hiyo mara mbili. Wakali hao wote wawili mwaka huu walipigwa kikumbo na beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk na kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
Sawasawa
😂😂😂radiiiiii
juzi nilikuwa natembea kwa miguu huku nikiwa nimevaa buti za country boy, basi ilipiga radi moja matata sana......
mama weeee sijui hata muda gani viatu vyangu nilivivua😀😀😀😀.
Speshoz ana-design suti na jezi
Hiki kicheko kinaashiria wewe ni mfupi😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah