Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bonge la kipigo halafu wamejikausha tuliii kama sio waoDada,
Umeuona huo ubao wa Liverpool?
Nimeona ile ile ya gauni lkn
Anne .. magoli matano yote ya kwenu? Heh!!!
Mapichapicha tu mnatuma.. Mialiko ya ubwabwa iko wapi??
Pariiii ...on mai baket listi
Mvua zikinyesha hazijai maji hizi..
Hata Mimi nilistuka jana,[emoji24][emoji24]Anne .. magoli matano yote ya kwenu? Heh!!!