Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
huku Harry Kane naye akifunga mara tisa katika mashuti yake 16 aliyolenga lango.
Aje wapi, hebu tuma location😀Anayetaka kumuona aje nitampa gauni aone.
Nilishakataa kupiga picha na shepu langu namba Tisa[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dogo namjua,ndiye msemaji mkuu.
Kuna dogo namjua,ndiye msemaji mkuu.
Ila kiukweli Hali ya wanafunzi si nzuri Bila mkopo,si udsm tu..hata vyuo vingine.
Ni vile tu hawasemi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada,Hawa ni mafowadi ambao hakika wanaposogelea goli la adui basi hawahitaji kufanya hivyo mara nyingi sana kabla kutupia nyavuni.
Ila ubaya wake kuna wachache huwa wanaumia kwa kudisco..
Asante kwa tetesi Dada...kumbe bado umo mi nilidhani uliacha baada ya kukauka majukwaa ya michezo....Mastaa wengine
Orodha ya mafowadi ambao hupaswi kuwasogeza kwenye goli lake kwa sababu watakufunga ni wengi akiwamo Mohamed Salah, ambaye amefunga mara tisa katika mashuti 24,
Nimeona ile ile ya gauni lkn