Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kocha huyo wa Manchester City alisema Arsenal imeyumba tangu alipoondoka Arsene Wenger, hivyo Arteta atakuwa na kazi kubwa ya kurejesha matumaini kwa wadau wa klabu hiyo.
Inaendelea vizuri, sijui ya kwako hapo[emoji846]
Nilitaka kushangaa...yaani kina salah,mane wote wamezembea Hadi tukapigwa hivi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe binti temea mate chini hao hao ******* wachache ndio walioipiga arsenal goli tano ujueNilitaka kushangaa...yaani kina salah,mane wote wamezembea Hadi tukapigwa hivi!
Kumbe Kuna ******* wachache wamesababisha haya[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app