Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe wasema,mie nimeitaman hio menu
aaahh! wapi
hiyo menu ni dhaifu sana labda uwe mvuvi ndio utaweza kula msosi kama huo..
hamuna mchuzi
dagaa wamepikwa bila ya kutolewa uchafu wa tumboni
dagaa hawajatolewa magamba
mboga ya muhogo haijatiwa tui la nazi
unga wa sembe umejaa michanga
vyombo havijakoshwa mwezi mzima
 
Binti Baraka keep Rest in uhuru
emoji111.png
niuzie avatar ya bikidude tafadhali
 
aaahh! wapi
hiyo menu ni dhaifu sana labda uwe mvuvi ndio utaweza kula msosi kama huo..
hamuna mchuzi
dagaa wamepikwa bila ya kutolewa uchafu wa tumboni
dagaa hawajatolewa magamba
mboga ya muhogo haijatiwa tui la nazi
unga wa sembe umejaa michanga
vyombo havijakoshwa mwezi mzima
Heee weee mkorea baki huko huko zenji aiseee unataka kuondoa vitamini zoooteee
 
Heee weee mkorea baki huko huko zenji aiseee unataka kuondoa vitamini zoooteee
kwa maisha ya mlalahoi
anapika sembe nusu kilo
mchuzi wa nazi wenye pweza au ngisi ndani yake inapendeza zaidi
mboga mboga kama mupendavyo watu wa upande wa pili (bamia, nyanya chungu)
chupa ya maji baridi


wajinga
anapika sembe kilo moja
supu ya dagaa
kopo la maji
usiku anakula sembe, jioni sembe, asubuhi kiporo sembe...

akili zinarudi nyuma kama kifungulio cha mfereji
 
Ngano robi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa maisha ya mlalahoi
anapika sembe nusu kilo
mchuzi wa nazi wenye pweza au ngisi ndani yake inapendeza zaidi
mboga mboga kama mupendavyo watu wa upande wa pili (bamia, nyanya chungu)
chupa ya maji baridi


wajinga
anapika sembe kilo moja
supu ya dagaa
kopo la maji
usiku anakula sembe, jioni sembe, asubuhi kiporo sembe...

akili zinarudi nyuma kama kifungulio cha mfereji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom