myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wewe wasema,mie nimeitaman hio menumwanamke anayepika sembe kama hilo namuacha kwa talaka tatu...
tazama hilo dagaa utadhani linatoka kuvuliwa baharini...
aaahh! wapiWewe wasema,mie nimeitaman hio menu
niuzie avatar ya bikidude tafadhaliBinti Baraka keep Rest in uhuru
Heee weee mkorea baki huko huko zenji aiseee unataka kuondoa vitamini zoooteeeaaahh! wapi
hiyo menu ni dhaifu sana labda uwe mvuvi ndio utaweza kula msosi kama huo..
hamuna mchuzi
dagaa wamepikwa bila ya kutolewa uchafu wa tumboni
dagaa hawajatolewa magamba
mboga ya muhogo haijatiwa tui la nazi
unga wa sembe umejaa michanga
vyombo havijakoshwa mwezi mzima
kwa maisha ya mlalahoiHeee weee mkorea baki huko huko zenji aiseee unataka kuondoa vitamini zoooteee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa maisha ya mlalahoi
anapika sembe nusu kilo
mchuzi wa nazi wenye pweza au ngisi ndani yake inapendeza zaidi
mboga mboga kama mupendavyo watu wa upande wa pili (bamia, nyanya chungu)
chupa ya maji baridi
wajinga
anapika sembe kilo moja
supu ya dagaa
kopo la maji
usiku anakula sembe, jioni sembe, asubuhi kiporo sembe...
akili zinarudi nyuma kama kifungulio cha mfereji
leta offer yko mkorea?niuzie avatar ya bikidude tafadhali
Barcelona wanacheza lini hivi?
Kuna mtu nina mapango wa kumkamulia vitunguu maji usoni[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
nitakupa bure nyumba ya bi kidudeleta offer yko mkorea?
地那天刚才妇产科☆
Hivi NaddySL timu yake Ni ipi?
Naona anakuja kwa Kasi Sana kumsaida Numbisa kunicheka
Sent using Jamii Forums mobile app