moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hodi hodi naingia, nimewamis sana brothers and sisters, love you nyote, Mliokua mmenuna Mungu awajaalie muwe na furaha, Mliokua hamna hela Mungu awajaalie mpate kwa wepesi sana, Mliokua mnahitaj waume Mungu awajaalie mpate wenye kheri na nyinyi, Mliokua mnahitaj wake Mungu awajaalie mpate wenye kheri na nyinyi, Mungu atujaalie wenye furaha kila time [emoji257][emoji257][emoji257][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji177][emoji177]View attachment 1296320
Sent using Jamii Forums mobile app