Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Donald Trump amekuwa rais wa tatu katika historia ya Marekani kupigiwa kura ya kuondolewa madarakani na bunge, huku kesi ikifunguliwa itakayoamua kama aendelee kuiongoza nchi au la. Trump anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni pamoja na matumizi mabaya ya madaraka na uzuiaji wa shughuli za bunge. Andrew Johnson na Bill Clinton Ndio marais wengine waliowahi kuondolewa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…