moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
TANESCO inawataarifu Wateja wake wa maeneo ya Kisarawe, Pugu, Gongo la Mboto, Kisukuru, Airport terminal zote, Vingunguti, Kiwalani, Banana, Stakishari na Barabara ya Nyerere kuwa, kumetokea hitilafu katika Kituocha Kupoza umeme cha Kipawa na kusababisha maeneo hayo kukosa