Mashabiki hao mara baada ya kutoka kuona timu yao ikifungwa mabao 5-0, dhidi ya Aston Villa, ndani ya masaa 24, walikwenda uwanja wa ndege wa kimataifa wa Birmingham, na kukutana mapema asubuhi na kuingie kwenye ndege ya kwanza kwenda Doha, ambapo timu yao ilikuwa ikicheza huko.