Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mechi hiyo ya kombe la Carabao ambayo ilikuwa ya robo fainali Liverpool walicheza dhidi ya Aston Villa Jumanne usiku walikubali kufungwa mabao 5-0, na sababu ya kufungwa idadi hiyo ni kutokana na kikosi chao kupanga wachezaji wengi vijana waliokuwa chini ya umri wa miaka 23.
Kumbe ndiyo Maana tulifungwa..
Walijaza viandaeitini tu dah[emoji1751]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samehe kila mtu

Kusamehe kuna faida kemkem, moja wapo ni kukufanya uwe huru katika fikra zako na uweze kufikiri kama mshindi. Utawezaje kufikiri na kupanga mikakati ya maendeleo wakati moyo na fikra zako zimejaa uchungu na ghadhabu dhidi ya wale waliokuudhi?
 
MV5BOGE4MmVjMDgtMzIzYy00NjEwLWJlODMtMDI1MGY2ZDlhMzE2XkEyXkFqcGdeQXVyMzY0MTE3NzU@._V1_SY1000_CR...jpg
 
Back
Top Bottom