Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Epuka kunung’unika na kulaumu
Washindi siyo watu wa kulalamika na kulaumu vitu na watu. Kuna watu ambao wao kutwa kuchwa ni kulaumu na kulalamika, ooh! hii serikali, aah! hii kazi, ooh! hii familia, aah! huyu mume au mke n.k.