Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Netflix bwana ila ngoja tuisubiri huenda ikawa nzuriyah tv series kutoka Netflix ijumaa hii inaanza kuruka hewani kwa mara ya kwanza
Ndio hii sini 2013 au niaka ya nyuma yake
hope itakua nzuri maana pia story line yake inavutiaNetflix bwana ila ngoja tuisubiri huenda ikawa nzuri
exactly, ni 2012 kama sijakoseaNdio hii sini 2013 au niaka ya nyuma yake
Action sema ah nmeona plot sio nzuri sana maramia code8bila shaka wewe ni mpenzi wa drama
Skunyingi mtu huezi ikumbuka vizuri,, ila huyu joker bwana kakondeana kama mifupa yake inataka kuchomoka[emoji23][emoji23]exactly, ni 2012 kama sijakosea
code 8 nnayo lakini bado sijapata mda wa kuiangalia hope this weekend ntaiangaliaAction sema ah nmeona plot sio nzuri sana maramia code8
hizo zimenishinda kabisa maana niko emotionless so wakianza kulia lia naona kama utoto tu, hizo wanaziweza akina Numbisa na Mkorea[/
kumbe hakafu hapo nilikosea akili iliwaza series drama sipendi mm ni action,thriller,horror,mystery animation, sci-fi basi
Jitahidi ni nzuri saaanacode 8 nnayo lakini bado sijapata mda wa kuiangalia hope this weekend ntaiangalia
why?Ukue hapo nilikosea akili iliwaza series drama sioendi mm ni action,thriller,horror,mystery animation, sci-fi basi
Tunatofautiana hata series napenda action nahisi hata see itanivutia sanawhy?
most of women likes drama movies
Recomended for you kama bado hujaangaliaTunatofautiana hata series napenda action nahisi hata see itanivutia sana
Sioendi kukaa naangalia watu wanaongea muda wote bora niangalie indian kuliko drama za hollywood
Uwiii nimetamaniiii
3.tayari hapa nitaanza na 1Recomended for you kama bado hujaangalia
1.Treadstone
2.God Father of Harlem
3.Watchmen
hope utazipenda
😂😂Nimeshakupa Mkuu Humu ni like tu
Post yako namba 338341503.tayari hapa nitaanza na 1
Hii 2 isubiri nikonaga niggas nakerekwa[emoji23][emoji23][emoji23]