Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] ngumi mzee korea wana ngumi aisee movie za mwaka huu nmebahataika kuona action kaaribu zote wanashawishi

Bolluwood nafataga mahaba tu[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 bora nikatupwe katikati ya jangwa la sahara lakini sio kuangalia watu wafupi wenye vimacho vidogo
 
Kwahiyo wamekatazwa kupaka makeup?
Ujue hawa ni kioo cha shirika ni vema wajiweke kwenye umaridadi ili wapendeze watushawishi kupanda ndege zao
Halafu hawa hawajapaka makeup wangepaka tungewaona wazuri tu

Hata wale huenda wakitoa makeuo watakua kama hawa tofauti ni miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wamekatazwa kupaka makeup?
Ujue hawa ni kioo cha shirika ni vema wajiweke kwenye umaridadi ili wapendeze watushawishi kupanda ndege zao

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani ni sawa na mwanaume umetoka kazini umechoka umeamua kwenda bar kutuliza akili upate moja ya baridi, halafu aje mwanaume na lisauti lizito kukuhudumia
 
FB_IMG_1576477027693.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom