moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
ni bora ninyofolewe macho yote mawili lakini sio kuangalia movie za korea au bollywood
😂😂😂 bora nikatupwe katikati ya jangwa la sahara lakini sio kuangalia watu wafupi wenye vimacho vidogoHahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] ngumi mzee korea wana ngumi aisee movie za mwaka huu nmebahataika kuona action kaaribu zote wanashawishi
Bolluwood nafataga mahaba tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]dah nakuweka kwenye kundi la walamba miguu aka foor job[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Miguu ni sehemu ya uzuri.
Wengine ndiyo ugonjwa wetu huo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa watu hawajawahi kunishawishi kabisa kuwaangalia
Macho madogo wanayo wachina tu japana na korea wanamimachooo[emoji23][emoji23][emoji23] bora nikatupwe katikati ya jangwa la sahara lakini sio kuangalia watu wafupi wenye vimacho vidogo
Halafu hawa hawajapaka makeup wangepaka tungewaona wazuri tu
Hata wale huenda wakitoa makeuo watakua kama hawa tofauti ni miguu
atleast Chines movies lakin sio Korean Dramas au BollywoodMacho madogo wanayo wachina tu japana na korea wanamimachooo
Uje nikuoe movie ss ukisema mbaya naenda kukutupa baharini mwenyewe[emoji23]
Huenda hawajui kujipaka mpaka wapakweKwahiyo wamekatazwa kupaka makeup?
Ujue hawa ni kioo cha shirika ni vema wajiweke kwenye umaridadi ili wapendeze watushawishi kupanda ndege zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] ngumi mzee korea wana ngumi aisee movie za mwaka huu nmebahataika kuona action kaaribu zote wanashawishi
Bolluwood nafataga mahaba tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tofauti Yao Ni nguo tu.Halafu hawa hawajapaka makeup wangepaka tungewaona wazuri tu
Hata wale huenda wakitoa makeuo watakua kama hawa tofauti ni miguu
Ngoja nikawashauri waniweke mmKwahiyo wamekatazwa kupaka makeup?
Ujue hawa ni kioo cha shirika ni vema wajiweke kwenye umaridadi ili wapendeze watushawishi kupanda ndege zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa miezi6 acha uongo unakufa mwez1 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atleast Chines movies lakin sio Korean Dramas au Bollywood
yaan hata iweje bora nikae njaa miezi 6 lakin sio kuangalia wakorea
Huenda hawajui kujipaka mpaka wapakwe
yaani ni sawa na mwanaume umetoka kazini umechoka umeamua kwenda bar kutuliza akili upate moja ya baridi, halafu aje mwanaume na lisauti lizito kukuhudumiaKwahiyo wamekatazwa kupaka makeup?
Ujue hawa ni kioo cha shirika ni vema wajiweke kwenye umaridadi ili wapendeze watushawishi kupanda ndege zao
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini na wao wasivae ili wavutie
ha ha kwani wengine wameona?[emoji23][emoji23]ungepita kimyakimya tu[emoji23]