Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HABARI : Mama mzazi wa mtoto aliyekutwa mtupu, huku baba yake akiwa ameshikilia panga na msumeno katika maporomoko ya maji mkoani Morogoro, Marry Shao, amesema kuwa mumewe alianza kubadilika hivi karibuni na kuanza kuongea maneno ya ajabu hadi alipokamatwa akiwa kwenye hali hiyo
 
24720b46655e4d029ab425519ecf32be.jpg
 
JUMATANO iliyopita, kilipigwa kitu cha El Clasico huko Nou Camp rekodi tano zilizokuwa zikisubiriwa kwenye mchezo huo uliohusisha miamba miwili ya soka la Hispania, Barcelona na Real Madrid ni moja tu ndiyo iliyotiki, inamhusu Lionel Messi.
 
Mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya bila ya kufungana ikiwa ni matokeo adimu sana kwa timu hizo kwa miaka isiyopungua 17 na hivyo kutibua namba kibao za kirekodi ambazo zilisubiriwa kwa hamu kuona zinatokea na badala yake, Messi peke yake ndiye, aliyetamba
 
Barca yashindwa kufikisha mabao 400

Barcelona iliingia kwenye mchezo huo wa El Clasico ikihitaji kufunga bao moja tu kufikisha mabao 400 ili kuwakaribia wapinzani wao Real Madrid ambao wao wamefunga mara 403. Barca kwa sasa imefunga mabao 399 katika mechi hizo za El Clasico, hivyo matokeo ya bila kufungana yamewaacha na namba yao hiyo ya mabao na kushindwa kufikia mabao 400.
 
Back
Top Bottom