HABARI : Mama mzazi wa mtoto aliyekutwa mtupu, huku baba yake akiwa ameshikilia panga na msumeno katika maporomoko ya maji mkoani Morogoro, Marry Shao, amesema kuwa mumewe alianza kubadilika hivi karibuni na kuanza kuongea maneno ya ajabu hadi alipokamatwa akiwa kwenye hali hiyo