Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huzuia mawe kwenye figo

Unywaji wa maji huzimua asidi inayosababisha mawe kwenye figo ambayo hupatikana tumboni. Unywaji wa maji ya kutosha kutakuepusha kwa kiasi kikubwa na matatizo ya figo. Ili kurahisisha utendaji kazi wa figo zako pamoja na afya yake, zingatia kunywa maji ya kutosha hasa asubuhi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile dk 1 ya nyongeza niliona Kama saa Zima[emoji23][emoji23][emoji23]
Yale majitu yalikuwa yametubana ,
Ashukuriwe klopp akaitumia kumtoa salah akamuingiza mwingine[emoji3]
Mara Mpira ukaisha.
Nikaruka juu angani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huhamasisha ukuaji wa nywele bora zenye afya

Upungufu wa maji mwilini una madhara makubwa sana kwa afya yako. Utafiti unaonyesha kuwa ¼ ya uzito wa nywele zako ni maji. Hivyo kutokunywa maji yakutosha kutakufanya kuwa na ukuaji duni wa nywele; pia kutafanya nywele zako kuwa dhaifu.

Kwa ajili ya afya na mwonekano bora wa nywele zako jidahidi kunywa maji yakutosha hasa unapoamka asubuhi.
[emoji847][emoji847][emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom