Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sina maneno ndiyo mana natupia picha tu, sidhani kama picha hizi zinakera mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wala hatukereki ,saiv tupo busy sana moud kuingia humu tunaweka koment mbili tatu na kuondoka. Nyie endeleeni tu kushangilia ushindi

Ila mkifungwa tutawacheka tu
 
MAHAKAMA KUU IRINGA YAMALIZA MZIZI WA FITNA RUFAA KESI YA ABDUL NONDO.

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa imeshikilia uamuzi wa awali wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa wa kumuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo,
IMG_20191223_180718.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom