Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Staa huyo wa Kibelgiji, 28, alisema: “Mechi ya kwanza itakuwa kati ya siku tano au sita, hiyo sawa haina shida, ina sasa mechi inayofuatia, sijui tutafanyaje. Subiri tuone hali ya mambo itakavyokuwa kwa kila mtu baada ya saa 48.
 
Ukweli ni kwamba itakuwa ngumu kucheza, lakini ratiba ndio imepangwa hivyo dhidi yetu, tunapaswa kutafuta namna ya kuikabili. Natumaini kila mtu atakuwa kwenye hali nzuri baada ya mechi hizi mbili, lakini tutalazimika kufanya mabadiliko ya wachezaji wachache.”
 
Ratiba ya Man City, Desemba 27 saa 4:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki itakuwa ugenini kwa Wolves na saa 46 na dakika 15 baadaye, itakuwa na mechi nyumbani, Desemba 29 saa 3:00 usiku na saa 71 na dakika baadaye, Mwaka Mpya itakuwa na mechi saa 2:30 usiku dhidi ya Everton uwanjani Etihad.
 
Wakati ngoma ikiwa ngumu hivyo kwa Man City, wapinzani wao Liverpool watacheza na Leicester City, Boxing Day uwanjani King Power saa 5:00 usiku na baada ya saa 68 na dakika 30 baadaye, Desemba 29 watakipiga na Wolves uwanjani Anfield saa 1:30 usiku na hapo watakaa kwa saa 99 na dakika 30 kuikabili Sheffield United, Januari 2, uwanjani Anfield saa 5:00 usiku.
 
75467890_572592093287895_6032468472478775311_n.jpg
 
Back
Top Bottom