Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ha ha weka tu nimekuruhusuHahahahaa nilikua na mpango huo ujue
Me kesho Ni J5 kwasababu nimeanza dose Jana.Kwangu mie skukuku Ni nile kuku ndizi the Heinken za kutosha.But siwezi dose mpyaaaFACT
KAMA UNA HELA KESHO NI CHRISTMAS
KAMA HAUNA HELA KESHO NI JUMATANOOOOOO
Pole mkuu dozi njema. Nina mafua hapa ila wanywa soda hayatuziii kusherehekeaMe kesho Ni J5 kwasababu nimeanza dose Jana.Kwangu mie skukuku Ni nile kuku ndizi the Heinken za kutosha.But siwezi dose mpyaaa
Sent using Jamii Forums mobile app