Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1577461754307.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fahamu haya kuhusu kasa
Kasa anafanana na Kobe kabisa lakini anaishi ndani ya maji baharini ila wakati wa kutaga anarudi nchi kavu kwa ajili ya kutaga mayai na akishataga hufukia mayai yake na kurudi majini, mayai yakianguliwa watoto hawamjui mama wala nani bali huanza safari wenyewe kuingia baharini. Naye analiwa tu kama samaki
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom