Fahamu haya kuhusu kasa
Kasa anafanana na Kobe kabisa lakini anaishi ndani ya maji baharini ila wakati wa kutaga anarudi nchi kavu kwa ajili ya kutaga mayai na akishataga hufukia mayai yake na kurudi majini, mayai yakianguliwa watoto hawamjui mama wala nani bali huanza safari wenyewe kuingia baharini. Naye analiwa tu kama samaki
- I'm 71 years old. I have dated close to 100 women in my lifetime. And here's what I can tell you; short women are evil. Spread the word and save a life.
Wakuu hivi kwanini mwanamke hata awe rafiki ako VP lakini ukija kumwambia neno nakupenda anakataa na urafiki unaisha hapo hapo??Ila ukiwa na mazoea nae sana unaweza kumla bila hata kumtakia neno nakupenda? Kwann neno nakupenda ukimwambia demu anakukutaa? Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi la kunyoosha viungo huwezesha misuli ya mwili kupata utulivu na kuwezesha damu na virutubisho muhimu kutiririka kwa wingi katika mifupa plastiki (cartilage) na misuli.