Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha kuchanganya ugoigoi na uHB [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Handsome ronaldo CR7,hebu jaribu kuangalia mechi za spurs,man city,man u kuna mahandsome wa kutosha

Ukitaka kuufahamu vizuri mpira sharti la kwanza anza kukariri wachezaji handsome now umeanza na anold kisha fatia handsome nusu kisha sura zile za tuache hizo stories[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cr7 naye Ni handsome?
Alivyokomaa vile...acha kumlinganisha huyu Mtoto na vitu vya ajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Tena.
Sasa uyu Mtoto akacheze na ile mijitu ya Manchester sijui ya kina Pogba
Kwanza itamuogopesha[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabla ya kumuangalia pogba tafuta VVD humo liver
 
Cr7 naye Ni handsome?
Alivyokomaa vile...acha kumlinganisha huyu Mtoto na vitu vya ajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee binti lile umbo la mwanaume kamili achana na haka ka ben ten ka watu hata hakajakomaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabla ya kumuangalia pogba tafuta VVD humo liver
Mimi nimeongelea Pogba[emoji23][emoji23][emoji23]
Usianze kuniletea habari za kina vvD.
Pogba si ndo mpinzani wetu,atamtisha huyu HB wetu..VVD Hana madhara maana yupo upande wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee binti lile umbo la mwanaume kamili achana na haka ka ben ten ka watu hata hakajakomaa
Ronaldo HB?
Acheni utani Basi Manchester [emoji23][emoji23][emoji23].

Hivi huyu Mtoto unamuona Kama mdada eeeh?
Embu muangalie upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…