moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Daaah hii picha imenikumbusha nyuma,
nilikaa nyumba flani hivi nilikuwa nalalia kitanda cha chuma chenye godoro jembamba yaani kweli nilikuwa namka kupumzika [emoji23][emoji23][emoji23] baadae nikapata akili nikalishusha chini. View attachment 1305723
Sent using Jamii Forums mobile app